Kirefu cha UTI kwa lugha ya kigeni ni Urinary Tract Infection
Ni mfumo mzima wa utengenezaji wa mkojo, kuusafirisha hadi nje ya mwili. Inahusisha figo, kibofu cha mkojo na mrija unayosafirisha mkojo. Uchafu wa aina yeyote unapoingia kwenye mfumo huu basi pale hupelekea mfumo huu kuathirika (infection). Infection nyingi kwenye mfumo huu huwa ni ile ya kwenye kibofu cha mkojo. Kama ikiwahiwa na kupata tiba sahihi basi tatizo huisha. Tatizo lisipopata tiba sahihi au lisipowahishwa tiba basi infection hii husafiri hadi kufika kwenye figo. Ambapo infection ya figo huwa ni tatizo kubwa sana kuliko la kwenye kibofu cha mkojo, ambapo linaweza sababisha tatizo kubwa kwenye figo.
NINI HUSABABISHA U.T.I
1.BACTERIA: Sababisho kubwa la tatizo hili ni bacteria ambao wanapatikana karibu na sehemu ya haja kubwa, ambao wanaweza kupenyeza na kuingia kwenye mfumo wa mkojo kupitia njia au mrija unaopitisha mkojo. Bacteria hawa huanzia kwenye utumbo mkubwa. Mara hawa bacteria wanapoingia kwenye mrija wa mkojo, wanasafiri kwenda juu na kusababisha infection kwenye kibofuu cha mkojo na hatimaye wasipowahiwa hufika hadi kwenye maeneo yote ya mfumo wa mkojo hadi kwenye figo na kusababisha UTI. nina bidhaa za kusafisha mfumo wa chakula kuua bacteria mwilini (pro biotic)
2. KUKAA NA MKOJO KWA MUDA MREFU: Kukaa na mkojo kwenye bibofu kwa muda mrefu. Kibofu cha mkojo kina kawaida ya kutanuka wakati mkojo ukiwa mwingi, kisha husinyaa baada ya mkojo kujisaidia haja ndogo. Mtu akikaa na mkojo kwa muda mrefu, kibofu hutanuka Zaidi na kufanya kuwa na ukubwa kuzidi uwezo wako wa kutanuka. Tabia hii ikijengeka, husababisha mishipa ya kibofu cha mkojo kulegea, na hufanya mkojo kutotoka wote pale mtu akienda kujisaidia haja ndogo na mkojo kiasi hubakia kwenye kibofu. Hii huongeza hatari ya mtu kupata infection kwa kuwa kibofu kinapaswa kuwa safi, yaani kuwe na mkojo mpya, ule wa zamani unapaswa kuondoka wote usije acha vijidudu. nashauri ukihisi hali ya kuhitaji kukojoa usilimbikize muda mrefu
3. UPUNGUFU WA MAJI MWILINI: Inaweza leta majanga kwenye figo, moyo pamoja na mfumo wa kinga za mwili. Wakati mfumo wa kinga za mwili unapopambana na upungufu wa maji mwilini, husababisha bacteria kuzaliana kwa haraka kwenye mfumo mzima wa mkojo. Mwili ukiwa na maji ya kutosha hufanya mfumo mzima wa mkojo kuwa safi pia. nashauri kunywa maji kwa wingi kila siku.
4. UGONJWA WA KISUKARI: Mtu mwenye tatizo la sukari mwilini huwa kwenye hatari Zaidi ya kupata U.T.I kwa kuwa damu inakuwa na kiwango cha juu sana cha glukosi ambayo husababisha yeast (vijidudu vinavyoleta fungus), ambapo huweza leta tatizo la U.T.I. ninazo bidhaa za kushusha kiwango cha sukari mwilini kwa wenye kisukari
5. NJIA ZA UZAZI WA MPANGO: Condoms, diaphragm, ingawa si kwamba condoms zote zinasababisha lakini ndo tuelewe kwamba tuna baadhi ya condoms zinaweza kusababisha na hapa sitazitaja kwa sababu maalum. naweza kukushauri njia nzuri ya uzazi wa mpango(calender)
6. ALLERGY: Sabuni au bidhaa nyingine ambazo hutumika kusafishia kwa bibi. Wapo wadada au wamama wengine hutumia poda kwa ajili ya kuondoa ubichi sehemu ya pembeni kwa bibi. Wapo wengine hupiga perfume kule kwa bibi wakiwa wameshavaa nguo, tambua kuwa perfume hupenya hadi kukutana na ngozi yako. Hizi pia huweza sababisha tatizo kutokea kwa kuwa uchafu utaweza ingia ndani kisha kufika hadi kwa njia ya mkojo na hadi kwa kibofu. mimi nina sabuni nzuri sana isiyo na allergy yoyote pia nina perfume nzuri sana sana ya asili isiyo na athari
7. KEMIKALI KWENYE VYAKULA NA VINYWAJI: Vitu vya nyongeza au vionjo (kemikali) vinavyowekwa kwenye vyakula au vinywaji kwa ajili ya kuhifadhi chakula/kinywaji kisiharibike, navyo huchangia mtu kupata U.T.I. Vionjo vijulikanavyo kama fructose (aina ya sukari), caffeine (inapatikana kwenye soda/chai), alcohol (vinywaji vikali) husababisha tatizo hili. Bacteria hujitengeneza na kujificha kwenye ukuta wa kibofu cha mkojo. Vyakula ambavyo vimeongezewa sukari kwa wingi husababisha bacteria na yeast kujitengeneza kwa wingi. hii kila mtu inamkuta lakini nina bidhaa ya kuondoa kemikali mwilini (anti-oxidant)
DALILI:
1. Maumivu wakati wa kujisaidia kama vile unaungua.
2.Kuhisi kukojoa mara kwa mara, ila mkojo unakuwa kidogo.
3. Unahisi tumbo kuwa zito.
4. Harufu ya mkojo inakuwa tofauti, inanuka vibaya.
5. Maumivu upande mmojawapo mgongoni chini ya mbavu ambapo ndipo figo zilipo.
6. Homa
7. Kuhisi kichefuchefu au kutapika.
Kupata matibabu ya lishe bila madawa wasiliana nasi.
Kwa mawasiliano piga
0756636990 au 0653148743
Dr Khalid Mzuka
Nimefurahi sana kupata elimu hii na pia nahitaji izo dawa kwa MTU Mwenye UTI napataje ndugu
JibuFuta0764094420 pendo
JibuFutaok ok pendo ntakupigia simu na utaletewa ulipo
JibuFuta